Kosi za 2027

Placeholder

F4L-Challenge

Do you have finished Form 4 last November? This training helps you to find and understand God’s plan for your life and to live according it.

When: 4th January – 13th March 2027
Language: English

Learn more

Placeholder

Young Leaders Training

Do you belong to the age group 18 to 24 years and like to be more active in your Christian live? This course is designed for you.

When: 22nd March – 29th May 2027
Language: English

Learn more

Placeholder

Kuijua Biblia

Kosi hiyo ‘Kuijua Biblia’ itakusaidia kuelewa Biblia zaidi na kutia maishani na pia utapata njia ya kujifunza Neno la Mungu.

Tarehe: 13th June – 10th July 2027
Lugha: Kiswahili

Ujifunze zaidi

Placeholder

Umisheni (Kampeni)

Umemaliza Discipleship Training na unapenda kwenda kwa uinjilisti tena? Hii ni nafasi yako!
Tutachukua watu 12 tu.

Tarehe: 10th July - 26th July 2027
Lugha: Kiswahili

Ujifunze zaidi
Placeholder

Discipleship Training

Jambo kuu ni kuwaleta watu kwa Yesu! Utajifunza hapa maana ya wokovu na pia jinsi ya kumsaidia mwingine kufahamu wokovu njia ya kuongea na mtu binafsi na katika kuhubiri.

Tarehe: 6th Sept. – 13th Nov. 2027
Lugha: Kiswahili

Ujifunze zaidi

Placeholder

Walimu wa Shule ya Jumapili

Wewe ni mwalimu wa shule ya Jumapili? Tunapenda kukusaidia kufanya kazi hiyo vizuri zaidi.

Tarehe: 3th Oct. – 9th Oct. 2027
Lugha: Kiswahili

Ujifunze zaidi