Umisheni (Kampeni)

Umemaliza Discipleship Training na unapenda kwenda kwa uinjilisti tena? Hii ni nafasi yako!

Umemaliza Discipleship Training na unapenda kwenda kwa uinjilisti tena? Hii ni nafasi yako!
Kwa Uinjilisti huo kwanza watapata nafasi watu ambao wako katika Certificate Program. Tutachukua watu 12 tu kwa hivyo ni muhimu kujiandikisha mapema ili upate nafasi

Sharti ya kujiunga:

  • Ulihuduria tayari kosi ya Discipleship Training
Image

Tarehe

13th - 29th July 2024 (wiki 2)

Image

Karo

KSH. 1,000

Image

Lugha

Kiswahili

Cheti cha Huduma ya Kikristo

Wanafunzi watapata Cheti cha HUDUMA YA KIKRISTO baada ya kumaliza Discipleship Training (wiki 10), Biblia na Huduma (wiki 10), Kazi ya nyumbani.
Wanafunzi wanaweza kumaliza sehemu zote 3 kwa wakati wao wenyewe

Placeholder

Sehemu ya 1 - Discipleship Training

wiki 10


Placeholder

Sehemu ya 2 - Biblia na Huduma

Kuijua Biblia (wiki 4), Huduma kanisani (wiki 4), Umisheni (Kampeni) (wiki 2)

Placeholder

Sehemu ya 3 - Kazi ya nyumbani

Umisheni (Kampeni)