Kuijua Biblia

Kosi hiyo ‘Kuijua Biblia’ itakusaidia kuelewa Biblia zaidi na kutia maishani na pia utapata njia ya kujifunza Neno la Mungu.

Yaliyomo ya kosi

Wewe unajua, yote unayojua kuhusu wokovu ndani ya Kristo na kuishi naye imetoka Biblia. Kwa hivyo hakuna budi ukipenda kumfuata Yesu, kumjua Mungu, kuelewa mapenzi yake na hasa ukifanya kazi kanisani njia moja au nyingine lazima ujue Biblia vizuri.
Kosi hiyo ‘Kujua Biblia’ itakusaidia kuelewa Biblia zaidi na kutia maishani na pia utapata njia ya kujifunza Neno la Mungu.

Kwa jumla:
Karo inagharamia masomo, kukaa, chakula na vifaa vingine.
Pesa za kujiandikisha ni sehemu ya karo.
Mtu akikosa kujiandikisha vizuri anaweza kukosa nafasi.
Baada ya kila kosi mwanafunzi atapata cheti cha Discipleship Training.

Masharti ya kujiunga:

  • Umeokoka
  • Una ushuhuda mzuri kanisani na nje.
  • Umri wako ni miaka 19 au Zaidi.
  • Unaweza kusoma na kuandika Kiswahili.
  • Unafanya huduma kanisani au unajitayarisha kufanya.
  • Umejiandikisha kirasmi na pesa za kujiandikisha.
Image

Tarehe

15th June – 12th July 2025 (wiki 4)

Image

Karo

KSH. 6,000

Image

Lugha

Kiswahili

Yaliyomo

  • Yaliyomo na Historia ya Agano la Kale
  • Hema ya kukutania
  • Taifa la Israeli
  • Mpango wa wokovu katika Agano la Kale
  • Yesu katika Agano la Kale
  • Yaliyomo na Historia ya Agano Jipya
  • Jiografia ya Agano la Kale na Agano Jipya
  • Kanisa
  • Na mambo mengine

Cheti cha Huduma ya Kikristo

Wanafunzi watapata Cheti cha HUDUMA YA KIKRISTO baada ya kumaliza Discipleship Training (wiki 10), Biblia na Huduma (wiki 10), Kazi ya nyumbani.
Wanafunzi wanaweza kumaliza sehemu zote 3 kwa wakati wao wenyewe

Placeholder

Sehemu ya 1 - Discipleship Training

wiki 10


Placeholder

Sehemu ya 2 - Biblia na Huduma

Kuijua Biblia (wiki 4), Huduma kanisani (wiki 4), Umisheni (Kampeni) (wiki 2)

Placeholder

Sehemu ya 3 - Kazi ya nyumbani

Kuijua Biblia