Huduma kanisani
Kosi hiyo itakupa msingi wa kuongoza kanisa. Itakusaidia kutayarisha mahubiri, Bible study, kuongoza ibada, na huduma nyingine.
Yaliyomo ya kosi
Wewe hufanya kazi kanisani lakini hujapata fundisho. Kosi hiyo itakupa msingi wa kuongoza kanisa. Itakusaidia kutayarisha mahubiri, Bible study, kuongoza ibada, na huduma nyingine. Mtu anayeongoza kanisa au kikundi katika kanisa ana jukuma kubwa sana kwa sababu kupitia yeye washiriki wataweza kupata msaada kumfuata Yesu au watapotoshwa.
Kwa jumla:
Karo inagharamia masomo, kukaa, chakula na vifaa vingine.
Pesa za kujiandikisha ni sehemu ya karo.
Mtu akikosa kujiandikisha vizuri anaweza kukosa nafasi.
Baada ya kila kosi mwanafunzi atapata cheti cha Discipleship Training.
Masharti ya kujiunga:
Tarehe
16th June – 13th July 2024 (wiki 4)
Karo
KSH. 5,000
Lugha
Kiswahili
Yaliyomo
Cheti cha Huduma ya Kikristo
Wanafunzi watapata Cheti cha HUDUMA YA KIKRISTO baada ya kumaliza Discipleship Training (wiki 10), Biblia na Huduma (wiki 10), Kazi ya nyumbani.
Wanafunzi wanaweza kumaliza sehemu zote 3 kwa wakati wao wenyewe
Sehemu ya 1 - Discipleship Training
wiki 10
Sehemu ya 2 - Biblia na Huduma
Kuijua Biblia (wiki 4), Huduma kanisani (wiki 4), Umisheni (Kampeni) (wiki 2)