02.jpg

3-Years Certificate Program

Kiongozi wa kanisa

Mwinjilisti

Kwa jumla:
Kwa kila program mwanafunzi anahitaji kuhudhuria kosi tisa.Kosi hizi zimegawanywa kwa miaka mitatu, yaani kila mwaka aje kosi tatu.Kwa kila kosi mtu anapata kazi ya nyumbani ili aweze kutumia mafundisho ya kosi.Kazi ya nyumbani ni sehemu ya kosi na bila kukamilisha mwanafunzi hatapata cheti.Wiki za kosi zote ni kama 30. Hii ni kama mwaka mmoja wa chuo cha Biblia.Baada ya kumaliza kosi zote pamoja na kazi ya nyumbani mwanafunzi atahitumu.Atapata cheti kulingana na program yake.

Jinsi ya kujiunga na 3-years Certificate Program:

  • Kujaza fomu ya kujiandikisha
  • Pesa za kujiandikisha KSH. 500.-
  • Barua ya kanisa (recommendation letter)
  • Barua ya mwanafunzi kwa kueleza kwa nini anataka kuhudhuria program.

3-Years Certificate Program: Mwinjilisti
3-Years Certificate Program: Kiongozi wa Kanisa
(C) 2010 Delpy & Krayss. All rights reserved.