Diguna Discipleship Training Logo

Karibu Diguna Discipleship Training

Utayarishwe kwa huduma

Kosi inayofuata

F4L Students

F4L-Challenge

8th January – 16th March 2024

jifunza zaidi
Placeholder

Kuhusu sisi

Diguna Discipleship Training (DDT) ni tawi la umisheni wa AIC (Africa Inland Church) Diguna. Sisi tunawafundisha wanafunzi kumfuata Yesu Kristo na tunawafunza kwa huduma kanisani na kwa kueneza Injili ya Yesu Kristo.

jifunza zaidi

Kosi za 2024

Placeholder

F4L-Challenge

Do you have finished Form 4 last November? This training helps you to find and understand God’s plan for your life and to live according it.

When: 8th January – 16th March 2024
Language: English

Learn more

Placeholder

Young Leaders Training

Do you belong to the age group 18 to 24 years and like to be more active in your Christian live? This course is designed for you.

When: 25th March – 1st June 2024
Language: English

Learn more

Placeholder

Huduma Kanisani

Kosi hiyo itakupa msingi wa kuongoza kanisa. Itakusaidia kutayarisha mahubiri, Bible study, kuongoza ibada, na huduma nyingine.

Tarehe: 16th June – 13th July 2024
Lugha: Kiswahili

jifunza zaidi

Placeholder

Umisheni (Kampeni)

Umemaliza Discipleship Training na unapenda kwenda kwa uinjilisti tena? Hii ni nafasi yako!
Tutachukua watu 12 tu.

Tarehe: 13th July - 29th July 2024
Lugha: Kiswahili

jifunza zaidi
Placeholder

Discipleship Training

Jambo kuu ni kuwaleta watu kwa Yesu! Utajifunza hapa maana ya wokovu na pia jinsi ya kumsaidia mwingine kufahamu wokovu njia ya kuongea mtu kwa mtu na katika kuhubiri.

Tarehe: 9th Sept. – 16th Nov. 2024
Lugha: Kiswahili

jifunza zaidi

Placeholder

Walimu wa Shule ya Jumapili

Wewe ni mwalimu wa shule ya Jumapili? Tunapenda kukusaidia kufanya kazi hiyo vizuri zaidi.

Tarehe: 6th Oct. – 12th Oct. 2024
Lugha: Kiswahili

jifunza zaidi

Uwasiliane nasi

Anwani ya Posta:

AIC DIGUNA Discipleship Training
P.O. Box 15566
00503 Mbagathi
Kenya

Mahali tulipo:

Ongata Rongai, Nairobi
Maasai Lodge Rd
(in the direction of Nazarene University)

Kuwasiliana na Discipleship Training:

Contact for rope course / other Diguna facilities: